Upweke sio matokeo ya kutokuwa na mtu ila ni suala la kuwa na mtu ambaye hajui unataka nini au afanye nini ili upate furaha na msisimko halisi. Wapo wenye wapenzi ila bado ni wapweke kuliko wale walio single, matendo na tabia yako kwake ndio yenye kuamua ajihisi mpweke au awe n…
Habari za muda huu wapendwa wafuatoliaji wa wilnismstore katika stories, leo nimekuandalia stori hii itayokukumbusha umuhimu na namna ya kuwasiliana kwa wanandoa na mahusiano kwa ujumla, mwisho wa kisa hiki usisahau kutoa comment yako na kushea kwa wengine wengi ili…
Peculiar company board of directors in ddoma ikishirikiana na USCF UDOM tiba wanakuletea uzinduz wa kitabu kinachoitwa Nguvu ya rafiki katika maisha kilichoandikwa na kijana wao Reagan Ephraim mwambande uzinduz huo utafanyika siku ya tarehe 7 February cafeteria ya TIBA kua…
Peculiar company board of directors in ddoma ikishirikiana na USCF UDOM tiba wanakuletea uzinduz wa kitabu kinachoitwa Nguvu ya rafiki katika maisha kilichoandikwa na kijana wao Reagan Ephraim mwambande uzinduz huo utafanyika siku ya tarehe 7 February cafeteria ya TIBA kua…
Peculiar company board of directors in ddoma ikishirikiana na USCF UDOM tiba wanakuletea uzinduz wa kitabu kinachoitwa Nguvu ya rafiki katika maisha kilichoandikwa na kijana wao Reagan Ephraim mwambande uzinduz huo utafanyika siku ya tarehe 7 February cafeteria ya TIBA kuanz…
Wakamwumiza mwanamke mwenye mimba hata akaharibu mimba, Kutoka 21:22 b USIUMIE UKIWA NA MIMBA UKAWE NA FURAHA ILI UKABEBE MTOTO, EPUKA MAMBO AMBAYO YATAKUPELEKEA MAUMIVU YA MOYO KIPINDI CHA UJAUZITO Sisi wilnismstore, Endelea kufuatilia Makala zetu mara kwa mara ili uweze kuj…
Jaji mmoja anasimulia kuhusu tukio moja la wanandoa waliotaka kuachana. Mke ndiye aliyetaka talaka. Katika kikao cha kwanza, jaji alisogeza mbele siku ya kutoa hukumu ili kuwapa fursa wahusika ya kupatana. Katika kikao kilichofuata akawauliza: "Bado mna nia ya kuachana?&quo…
Mwanaume mmoja tajiri alikuwa anataka kuoa, lakini hakujua atamuoa nani maana kila msichana alikuwa akijisogeza sogeza kwake naye aliogopa kutokana na kizazi hiki kilicho jilaani chenyewe. Basi akaamua kumuomba MUNGU ili aweze kumfungua macho ya rohoni aweze kumuona mwanamke sah…
1. Ishi na watu wote,ongea na kila mtu... usimpapalikie mtu eti kwasababu ya cheo chake au kwasababu atakusaidia au alikusaidia kitu,kwasababu ya pesa zake. 2. Usimpuuze mtu kwasababu ya uhitaji wake, uduni wake,au kwa kuyumba kwa dishi lake au kukatika kwa pistoni zake 3. Usi…
1. Don’t ever beat your wife for any reason. Prov. 19:11, Prov. 20:3 2. Don’t ever forget that your wife is your greatest asset. Prov. 12:4, Prov. 18:22 3. Don’t ever forget to check the level of peace of your wife. Prov. 27:17 4. Don’t associate with men that la…
Whom you are connected to, has positive or negative rewards in your life God created the Earth in perfection, loved it, and placed man to take care of it. Human continues to live in community as their language and culture permit. A country can consist of communities …
1 Wakorintho 7:1-4 “Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hi…
Vijana wengi wa siku hizi huogopa kuoa au kuolewa kwa sababu nyingi. Wengine huogopa kupoteza uhuru wao, wengine huogopa gharama ya kutunza familia. Wengine wanasema wanaweza kupata raha zote za ndoa bila kujifunga katika ahadi za ndoa. Sasa leo nimekuletea somo hi…
Habari za muda huu wapendwa wafuatoliaji wa wilnismstore katika stories, leo nimekuandalia stori hii itayokukumbusha umuhimu na namna ya kuwasiliana kwa wanandoa na mahusiano kwa ujumla, mwisho wa kisa hiki usisahau kutoa comment yako na kushea kwa wengine wengi ili…
Karibu mpenzi mfuatiliaji wa wilnismstore, leo katika mahusiano nimekuandalia Makala hii katika ambayo inaelekeza umuhimu wa mwanaume kumsikiliza mwanamke....Ungana nami mwanzo mpaka mwisho na kama ukiipenda usisahau kushea, pia waweza niandikia maoni yako kwa kubofya sehemu ili…
Hivi umewahi kujiuliza kwanini kituo huwekwa mwishoni mwa neno na si alama ya Koma?? Au umewahi kujiuliza kwanini mabasi hufikia kituo cha mabasi na si nyumbani kwa dereva?? Au umewahi kujiuliza kwanini makufuli hufunguliwa kwa funguo zake sahihi na si zingine?? Hizo ni termino…
KARIBUNI VIJANA TUZUNGUMZE.... Uchumba ni hatua ya mpito kuelekea kuoana. Watu wawili wa jinsia tofauti wakikubaliana kuishi pamoja kama mume na mke katika siku za usoni huanzisha mahusiano yanayoitwa uchumba. Uchumba si ndoa. Katika uchumba mahusiano ni ya kirafiki yasiyohu…
WANAWAKE / WANAUME TUONGEE UNAPOZUNGUMZIA suala la maumivu ya mapenzi, japokuwa huumiza sana hasa kama ulikuwa na mapenzi ya dhati na mwenzi wako na baadaye akaaamua kukugeuka, siyo suala geni hapa duniani. Unapolia leo kwa sababu ya mapenzi, elewa kwamba mamil…
Nimeichukua mahali fulani, Shikamoo dada Irene Mbowe. Nimesoma ushuhuda wako wa Duka la samaki nikakumbuka mm ushuhuda wangu. Mwaka 2015 Mwezi wa Saba nilikutana na Changamoto moja ambayo sikujua MUNGU Ananiepusha na balaa. Ilikuwa hivi . Nilipata Mchumba ambaye…
AMANI ya kweli katika uhusiano katu haiwezi kupatikana ikiwa wahusika hawajafahamu wanatakiwa kuishi katika mtindo upi wa maisha. Kila mmoja anatakiwa kufahamu kuwa katika mahusiano na fulani si tiketi ya moja kwa moja ya kuwa na furaha na amani. Kwani wangapi wa…
QUOTES OF THE DAY
When you believe, you no longer worry..!
Let your Faith move the mountain and don’t allow the mountain to belittle your Faith..!!
God gives you as much wisdom as you ask Him for, only do not doubt, for you will get nothing..!
"If any of you needs wisdom to know what you should do, you should ask God, and he will give it to you. God is generous to everyone and doesn’t find fault with them. When you ask for something, don’t have any doubts. A person who has doubts is like a wave that is blown by the wind and tossed by the sea. A person who has doubts shouldn’t expect to receive anything from the Lord. A person who has doubts is thinking about two different things at the same time and can’t make up his mind about anything...."
(James 1:5-8)
Copyright © 2019 - Designed by SmartArts>>> All Right Reserved