HABARIKA NASI, ELIMIKA NASI, FURAHIA NASI, ENJOY THE PROGRAM..... SmartArts|| Wilnismstore --->> Habarika Tanzania
Double tap on the video below to play it Naipenda Tanzania, naipenda nchi yangu😁😁 Sisi, Wilnismstore app | Wilnismstore web | SmartArts
Watu wawili walikuwa wanakunywa pombe baa. Wakati wanakunywa wakaanza kubishana na baadaye ule ubishi ukawa ugomvi. Mmoja akamrukia mwenzake akaanza kumpiga. Baada ya kumpiga kwa muda mrefu akagundua kuwa mwenzake hapumui tena. Kumbe amemwua mwenzie. Ndipo alipoanza ku…
Jaji mmoja anasimulia kuhusu tukio moja la wanandoa waliotaka kuachana. Mke ndiye aliyetaka talaka. Katika kikao cha kwanza, jaji alisogeza mbele siku ya kutoa hukumu ili kuwapa fursa wahusika ya kupatana. Katika kikao kilichofuata akawauliza: "Bado mna nia ya kuachana?&quo…
Leo Oktoba 22,2020 ni siku ya maadhimisho ya watu wenye kigugumizi duniani, kupitia hili sisi kama wilnismstore publishers tumeona ni vyema kukuandalia Makala inayoonesha watu maarufu wenye Kilema cha kigugumizi na jinsi wanavyoweza kuishi nacho huku wengine wakiwa wameshinda ji…
Dear Son, I want to know why I died like a poor woman when I have a Son like you. My Son, I wanted to bless you before I die, but now I have gone with my blessings. My breakfast, my lunch and my dinner was one of my challenges when I was alive, but you spent mone…
Karibu mpenzi mfuatiliaji wa wilnismstore, leo katika mahusiano nimekuandalia Makala hii katika ambayo inaelekeza umuhimu wa mwanaume kumsikiliza mwanamke....Ungana nami mwanzo mpaka mwisho na kama ukiipenda usisahau kushea, pia waweza niandikia maoni yako kwa kubofya sehemu ili…
Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na nikamwambia sitaweza kupumzika kazi mwezi mzima. Lakini aliniambia mwezi mmoja wa kung'ang'ania kazi naweza kuujuti…
Baba na mama baada ya kurudi safari pamoja wakakuta BARUA iko mezani SEBULENI ikisema.... "Baba na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka juu ya meza, naomba msishtuke mana ni mambo ya kawaida kwenye maisha tunayoishi, n…
Watu wawili walikuwa wanakunywa pombe baa. Wakati wanakunywa wakaanza kubishana na baadaye ule ubishi ukawa ugomvi. Mmoja akamrukia mwenzake akaanza kumpiga. Baada ya kumpiga kwa muda mrefu akagundua kuwa mwenzake hapumui tena. Kumbe amemwua mwenzie. Ndipo alipoanza ku…
Kuna kipindi rafiki yangu fulani ambaye huwaga ana aibu sana na ni mtu ambaye siyo wa kujiwakilisha na watu alikuwa na harusi. Sasa ilikuwa anatakiwa kukusanya watu wa kumchangia na kukusanya michango. Katika kipindi kile cha kutafuta michango ili kuwezesha harusi niliona ka…
Kuna mdada alikutana na mkaka wakat wako safarin... yule kaka akamuomba mdada namba ya cm. njian akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofka stand mkaka akamlipia usafr mpka hom kwao Bas wakawa wanawasiliana kila cku. cku nyingne anamuita wanatoka wanakula na kunywa na hela a…
Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitatu kabla wakati tukiwa katika maandalizi ya Bashiri kuja nyumbani kuleta mahari miguu ilianza kuuma kiasi cha kushindwa hata kutembea. Mama alinikanda mara kwa mara na ilikuwa ikivimba na kutoa maji kama…
QUOTES OF THE DAY
When you believe, you no longer worry..!
Let your Faith move the mountain and don’t allow the mountain to belittle your Faith..!!
God gives you as much wisdom as you ask Him for, only do not doubt, for you will get nothing..!
"If any of you needs wisdom to know what you should do, you should ask God, and he will give it to you. God is generous to everyone and doesn’t find fault with them. When you ask for something, don’t have any doubts. A person who has doubts is like a wave that is blown by the wind and tossed by the sea. A person who has doubts shouldn’t expect to receive anything from the Lord. A person who has doubts is thinking about two different things at the same time and can’t make up his mind about anything...."
(James 1:5-8)
Copyright © 2019 - Designed by SmartArts>>> All Right Reserved