PECULIAR COMPANY|TANGAZO LA UZINDUZI WA KITABU


Peculiar company board of directors in ddoma ikishirikiana na USCF UDOM tiba wanakuletea uzinduz wa kitabu kinachoitwa Nguvu ya rafiki katika maisha kilichoandikwa na kijana wao Reagan Ephraim mwambande uzinduz huo utafanyika siku ya tarehe 7 February cafeteria ya TIBA kuanzia sa 7 kml mchana na kuendlea ikihudhuriwa na viongoz mbali mbali akiwepo raisi wa chuo kikuuu Cha dodoma.. malecturer wa UDOM .. mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi UDOM.Gavana wa UDOM tiba.. kwaya mbali mbali..bila kusahau watu kutoka mikoan na walipiopo NDANI na nje ya chuo Cha UDOM

Ni zamu ya vijana kuisimamisha dunia usipange kukosa 🔥🔥🔥

Post a Comment

0 Comments