Habari mtu wangu wa nguvu, leo nimekuletea makala nzuri inayohusiana na jinsi ya kutumia mendeley desktop kama reference manager,
Matumizi ya references(marejereo)
1. Utafutaji wa habari ya kumbukumbu kutoka hifadhidata ya bibliografia mkondoni
2. DOI na vitambulisho vingine vinavyoendelea vya habari ya bibliografia
3. Usimamizi wa moja kwa moja wa faili za PDF Ufikiaji kwa ufikiaji rahisi wa yaliyomo kwenye maandishi kamili
4. Usimamizi wa marejeleo ya wavuti kwa ushirikiano rahisi na matumizi katika vifaa anuwai
Baada ya kujifunza hayo leo napenda tujifunze zaidi mendeley desktop kama reference manager
Vitu muhimu vinavyohitajika ili uweze kutumia mendeley desktop katika PC yako
- Mendeley desktop software
- Mendeley desktop plugin ambayo utaiweka katika Microsoft word
- Mendeley word importer plugin ambayo utaiweka katika browser yako unayoitumia katika PC (Mozilla firefox/chrome/internet explorer)
- Kama document haionekani vyema bofya alama alama inayoonekana upande wa kulia(mshale unaooelekea nje ya kibox cheusi) ili kuikuza kulingana na screen ya simu yako
0 Comments