Wengi wanajiuliza hivi kwanini huwa napenda kuandika katika makala zangu, status au post zangu sentensi hii "Run your best in faith" Naam ungana nami tena ili uweze kujifunza kuishi na kutenda kwa imani.. Sote tunapaswa kuishi kwa Imani .... Tunaishi kwa imani na s…
Ndugu tunaposoma katika injili ya (mathayo6:1) , Yesu anasema "Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu,kusudi mtazamwe na wao kwa maana mkifanya hivyo hampati thawabu kwa baba yenu alie mbinguni(Mungu) Watu tulio wengi tunavaa maisha yasio uhalisia ili tuonekane kw…
JINSI YA KUKUZA BIASHARA YAKO Ikiwa biashara yako haikui basi inaelekea kufa.Ikiwa huendi mbele basi unarudi nyuma. Mara baada ya kuwa na wafanyakazi na wateja wazuri kampuni yako inapaswa kukua.Kuna njia nyingi za kukuza kampuni yako. Kujenga Uhusiano mzuri wa kibiashara . Kuje…
Kuendelea kuhamasishwa Mtazamo mzuri na tamaa ya mafanikio ni muhimu sana kuendesha biashara yenye mafanikio kwa muda mrefu. Dhiki yako na ndoto yako itakuwa motisha wakati wa mchakato huu.Hata hivyo,changamoto mara nyingi hupunguza msukumo wako.Hii inaweza kuwa na madhara maku…
Kati ya mambo ambayo yanafanywa sana na watu bila ya kujua gaharama yake ni hili la kufanya agano la ndoa madhabahuni na huku kiumbe kikiwepo tumboni. Imekuwa kama ni jambo la kawaida sana kufanya kitu cha namna hii. Watu wanafunga ndoa na kabla ya kutimia miezi tisa tangu wa…
KARIBUNI VIJANA TUZUNGUMZE.... Uchumba ni hatua ya mpito kuelekea kuoana. Watu wawili wa jinsia tofauti wakikubaliana kuishi pamoja kama mume na mke katika siku za usoni huanzisha mahusiano yanayoitwa uchumba. Uchumba si ndoa. Katika uchumba mahusiano ni ya kirafiki yasiyohu…
Kusimamia Wengine Ukiwa na uwezo wa kusimamia watu wengine utagundua kama biashara yako inafanikiwa au sio.Hii inajumuisha kupata nafasi nzuri kwa vitendo vya kampuni na kuajiri wafanyakazi. Kujitayarisha mwenyewe kwa changamoto za kuwa bosi itasaidia kuhakikisha ku…
1.0 UTANGULIZI Zoezi la uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano katika Shule za Sekondari za Serikali, Vyuo vya Ualimu, na Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa mwaka 2020, limefanyika na kukamilika. Zoezi hili limefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa w…
Baraza kuu la tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) limetangaza orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2020/2021 pamoja na vyuo vya ufundi. Wanafunzi wapya wa kidato cha tano wametakiwa kuripoti tarehe 18 July na ku…
RATIBA ZA MITIHANI "Darasa la 7 wataanza Mitihani Oktoba 7-8, Kidato cha 2 wataanza Nov 9 -20, wanaomaliza Kidato cha 4 na wa kujitegemea, wataanza Nov 23 hadi Disemba 11, na Darasa la Nne wataanza Novemba 25 - 26, 2020 " - Waziri wa Elimu, Prof Ndalichako. BOFYA HAPA …
Umuhimu wa shauku ya mafanikio katika ujasiriamali na Jinsi ya kuanza biashara ya ndoto zako . Shauku jambo la muhimu zaidi ili uweze kufikia malengo yako.Bila shauku biashara yako itakuwa kazi ngumu kama kazi nyingine. Daima chagua kitu ambacho unatamani sa…
Uchunguzi wa hivi karibuni uligundua kuwa zaidi ya 70% ya watu wanatamani wajasiriamali.Hii ni kutokana na vigezo vingi ambavyo kila mmoja kwa binafsi anavyo.Miongoni mwa vigezo hivyo ni uhuru wa maamuzi kuhusu hatima ya maisha yako mwenyewe. Kwa nini unapaswa kuwa mjasiri…
Tumsifu Yesu Kristo... Bwana Yesu asifiwe wana wa Mungu aliye hai... Ni matumaini yangu kuwa Mungu aliye uzima wetu ameendelea kuwashindia na kuhurumia kila itwapo leo, Leo nakuletea nyundo 10 🔨🔨🔨⚒️⚒️⚒️. Ukiumia hapo badili mwelekeo ili usiumie tena, Twende pamoja;- 1…
ISA. 55:6-7 (a) Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu; . Muda mwingi huwa hatuwi karibu na biblia au vitabu vya dini lakini hatujawa wakamilifu kiimani, hivyo mioyo yetu yahitaji kushibiswa kila wakati, Kwa kuliona hilo sisi tumekutafutia website nzu…
Matatizo ni sehemu ya maisha Mateso ni changamoto za kuishi Uvumilivu ni mambo ya kuja na kupotea Binadamu wengine hawana rizki wanatafuta kwa udi na uvumba wanakosa Leo hii una uwezo wa kula vipindi vitatu unalalama? Kuna wenzetu wametafuta watoto kwa hali na mali wakako…
QUOTES OF THE DAY
When you believe, you no longer worry..!
Let your Faith move the mountain and don’t allow the mountain to belittle your Faith..!!
God gives you as much wisdom as you ask Him for, only do not doubt, for you will get nothing..!
"If any of you needs wisdom to know what you should do, you should ask God, and he will give it to you. God is generous to everyone and doesn’t find fault with them. When you ask for something, don’t have any doubts. A person who has doubts is like a wave that is blown by the wind and tossed by the sea. A person who has doubts shouldn’t expect to receive anything from the Lord. A person who has doubts is thinking about two different things at the same time and can’t make up his mind about anything...."
(James 1:5-8)
Copyright © 2019 - Designed by SmartArts>>> All Right Reserved