MAKUNDI MATANO YA MABADILIKO



- Kundi la kwanza, ni aina ya watu ambao wanaruhusu mabadiliko yatoke lakini wao wenyewe hawafanyi chochote.
- Kundi la pili, Hawa ni wale ambao mabadiliko yanapokuja hawapo tayari kuyapokea (wanaona usumbufu).
kundi hili ni wale watu ambao wanamajuto baadae, kwa nini watu hawa wanaona usumbufu ni kwa sababu ya mazoea,wanakataa kuwaza jambo jipya wala kuona jambo jipya.Wana wa Israel hawakubali mabadiliko ndio maana walikumbuka ya nyuma.
- Kundi la tatu, hawa ni wale ambao mabadiliko yanawakuta ni wahanga baada ya kuwa wabishi kwa muda fulani, wanajikuta wao ndio mabadiliko(wasababishahi). 
- Kundi la nne, hawa ni wale ambao wamejiandaa kwa mabadiliko yatokee yaani wanasababisha mabadiliko yatokee maana ukombozi ni mabadiliko, wameamua kutoka kwenye mazoea lakini wamekubali kulipa gharama ili wapate ukombozi.
- Kundi la tano, hawa ni wale ambao wanakutana na mabadiliko wanakubali kuyapokea ili wasikutane na hatari.

Post a Comment

0 Comments