HABARI KUU ZILIZOTREND KATIKA MAGAZETI LEO 06/02/2021

🔥Usajili nyumba zote unakuja
🔥Jengo lililoporomoka laponza vigo
🔥Gwajima aliamsha dude bungeni

🔥Sheria ya ndoa kufanyiwa marekebisho 
🔥Miaka 44 ya CCM yatikisa kila kona

🔥Ujenzi jengo la saratani mwanza kuokoa maisha

🔥Hukumu mabaraza ya ardhi kuandikwa kiswahili

🔥Madaktari wakatwa mishahara kwa kifo cha mjamzito
🔥Madeni ya serikali tuishi kwa wastaafu
🔥Chanzo cha serikali kukataa chanjo ya Corona

HABARI ZA MICHEZO

🔥Gomes akili yote Yanga
🔥Simba yaibeba Tanzania

🔥Mabao ya vichwa yaitesa simba








Post a Comment

0 Comments