HABARI KUU ZILIZOTREND KATIKA MAGAZETI LEO 14/01/2021

🔥Benki ya dunia yatoa tril 1/- elimu ya juu

🔥Gari la maiti mbaroni likisafirisha mirungi

🔥DPP awasha moto sakata walemavu


🔥Gari la maiti lakamatwa na dawa za kulevya katika jeneza

🔥Wizi dawa, vifaa Tiba vya Bil 1.2/- waitikisa MOI
🔥Mtandao wa wizi wa dawa watikisa
🔥Waliowatumikisha walemavu kuomba wapanda kizimbani
🔥Mafuriko yabomoa nyumba 117 mkoani Mtwara


🔥Taifa stars Waenda Cameroon na matumaini








Post a Comment

0 Comments