SAFARI YA RAISI MAGUFULI KIROHO MPAKA KUFA(TAFAKARI)

Mdogo wake aliyekuwa anamuugaza amesema kuwa....
Rais Magufuli wakati tupo hospitali muda wote alikuwa anaimba nyimbo za dini na kila Dr aliyekuwa anaanza kumuhudumia alikuwa anamwambia Dr..Mungu ni mkuu zaidi ya yote, tusali kwanza...kila wakati alikuwa anasali na anatuambia sisi wote kila wakati salini kuna Mungu...na akatuambia naombeni mniitie Kardinari Pengo na Padri Makubi..Paroko wa St Peters.., Kardinari Pengo na Pd Makubi wakaenda hospitali alivowaona alifurahi sana akawaambia nimejikabidhi kwa Mungu naombeni kitubio na Sakramenti ya Ekaristi. Basi Kardinari Pengo akabaki nae...peke yao..akaungama..baada ya hapo wakasali Misa pale kitandani..akapakwa Mafuta Matakatifu ya wagonjwa, wakaendelea kusali...kauli aliyowapa Kardinarina pd..ni kuwa niomben na nimejikabidhi kwa Mungu na Mungu ni mkuu sana...basi Kardinari na Pd Makubi baadae wakaondoka...siku hiyo hiyo ndio aliyofariki.
Mchana kapewa huduma ya Kanisa jioni akafariki.
👆👆


Post a Comment

0 Comments