Wilnismstore wisdom today


●BUSARA, huleta heshima katika maisha ya mwanadamu. Mara nyingi huleta amani maishani.

●HEKIMA, Huongeza marafiki walio kweli na hupunguza wanafiki maishaini mwako, kwakuwa hujiengua kutokana na ubaya wao ili wajitenge na hekima zako.

●UTAWALA, Hubadiri maisha yako kutoka sehemu moja na kwenda nyingine. Pia hukuongoza kuwa wewe na sio kuwa kama yule.

   Na vyote havinunuliwi wala havilipiwi, kaka/dada/mama/baba. Vitu hivi vitatu huendana sawia kabisa na UTU. Utu ambao huweza kubadiri maisha yako kuwa bora ama kuwa ya msoto, licha ya kupambana kila kukicha.

"Ezekia alikuwa na umri wa miaka 25 alipoanza kutawala yerusalemu. Alitawala kwa miaka 20 na kenda, mamaye aliitwa Abiya bintiye zekaria.
   Akafanya yaliyo ya adili machoni pa bwana sawa sawa na yote aliyoyafanya Daudi babaye".

MAMBO YA NYAKATI 29:1-2

Post a Comment

0 Comments