MABADIRIKO.


  "Kuna muda unapambana sana kufikia malengo lakini hufanikiwi, vikwazo na changamoto huzidi nguvu yako ya msukumo na kujikuta ukikata tamaa. Rafiki kuna kitu kidogo naomba nikukumbushe,
👉🏽 dakika hubadirika na kufanya masaa yasonge.

👉🏽Jua huzunguka dunia na kufanya usiku na mchana.

👉🏽 vivyo hivyo hata siku pia hazigandi, ndio maana tarehe hubadirika, wiki hutimia, miezi kusonga na baada miaka kupita.

Kidogo sasa najua utakuwa umetambua namaanisha nini, yaani ukikwama kuyafikia mafanikio haimaanishi ukate tamaa lah! Sha. Jaribu tena na kama bado kila ujaribupo mbombo inazidi kuwa ng'afu, badirika wewe using'ang'anie kukibadirisha kisichobadirika. Usijari watasema nini, wapuuze wanao amini huwezi. KUMBUKA, kuna njia mbili ndefu na fupi na zote zinaitwa njia. Hivyo chagua njia ya kupita usisimame, kwakuwa utapotea wakati wa kwenda kurudi mwenyeji. Badirika mabadiriko yanavyotaka kukubadirisha ili ufanikiwe".

Post a Comment

0 Comments