Kuna muda hupaswi kulia wala kutetereka,


Kuna muda hupaswi kulia wala kutetereka, baada ya changamoto zikikukwamisha kufikia malengo yako kwa muda sahihi.

Kwakuwa katika maisha ya mwanadamu, kila hatua ina maana yake. Ukiona wateseka basi tambua upo katika mapambano na unapaswa kuendelea kupambana, hivyo ongeza nguvu zaidi na nguvu katika mapambano yako. Ukiona wahuzunika usikate tamaa bali, ongeza nguvu katika mapambano katika mapambano kwakuwa, changamoto yaweza kuwa imekuelemea lakini ukipambana utaishinda.

Na mwisho, nakukumbusha kuto kusahau ulikotoka baada ya kufanikiwa. Ili tu usibweteke na kujikuta ukirudi ulikotoka baada ya mafanikio ya muda mfupi.


Post a Comment

0 Comments