• Chagua namba 8.ELIMU
• Chagua namba 2.NECTA
• Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO
• Chagua aina ya Mtihani 2.ACSEE
• Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0112-0656-2020
• Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)
• Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo
0 Comments