Mwanaume mjali mwanao bila kujali mahusiano yako na mkeo




Hakuna kitu kibaya na kinatesa mioyo ya Mama zetu kama wanaume zao kutelekeza mtoto na familia kuanza kuilea mwenyewe kwa kuhangaika kila kona ili mradi mtoto apate kula na mama afurahi

Kuna wanaume wameumbwa na mioyo migumu sana, ni sawa mwanamke kafanya kosa ila unakuta anachukia hadi mtoto ambaye anatokana na yeye,Muda mwingine inasikitisha ila inakubidi tyuuu ucheke maana hata ukilia bado hawatasikia
KWA MAHITAJI YAKO YA


WEBSITES DESIGNING AND DEVELOPMENT, MOBILE APPS BUILDING, GRAPHICS DESIGNING, VIDEO EDITING AND CREATIVITY......CONTACT US +255 743 524 143/+255 657 014 782


MBIFILE CREATIONS...
KNOW MORE ABOUT US>>>

Mtoto analelewa na mama alfu unakuta amekua ndio unarudi ety "mwanangu ana miaka Mingapi" Loooh! hivi angekuwa mwanao ungemtelekeza na kumuona sio lolote wala chochote

Ungeitaka damu yako hata usingeitelekeza kama kweli ulikuwa na mapenzi na mwanao hata usingemtelekeza mwanao na kutembelea kusikojulikana na Muda mwingine unakuta mwanaume anamtelekeza Mwanamke kwa kumtukana ambayo kama angetukaniwa mzazi wake ni wazi kuwa angekasikilika

Inauma kulea mtoto mwenyewe inauma sana mtoto anakuona bila kuona tabasamu la Baba yake....ningependa wanaume tubadilike makosa ni sehemu ya kujifunza kama unashindwa kumsamehe we unadhani Mungu atakusamehe kwa kumtelekeza mtoto👈🙏🙏
Take it 

Post a Comment

0 Comments