WAZO LA LEO

TAZAMA PICHA VIZURI, rudia kutazama hata Mara 5 ndipo utamuelewa Mwalimu vizuri:

1. ukitoa msaada pasipostahili inaweza kuwa chanzo cha Anguko lako.

2. sio kila anayeomba msaada ukazani ana shida kweli .

3. Sio kila anayeomba msaada ni mwema, Mwingine anahitaji msaada kisha anakengeuka.

4. Sio kila uombwapo utoe msaada, nawe ukimbie haraka haraka, cheki moyon mwako kuna Amani kabla ya kutoa msaada.

5. Sio kila anayepiga kelele anazama ukazani anazama kweli Bali ni adui anataka akuzamishe wewe.

6. Sio kila anayekupa mkono ukazani ni rafki mwema, mwingine anataka uanguke kimaisha na usiwe mwenye kufanikiwa jumla.

--------Raha ya kufundisha utumie zana--------
-----MVUVI ANAONA MKONO TU LAKIN SIO KINACHOENDELEA KWENYE MAJI--

--------MUNGU akupe macho ya Rohoni ------


Post a Comment

0 Comments