MADHARA YA MZAZI/MLEZI KUTOKUWA NA NAFASI KWA MTOTO.

Habari ndugu mpenzi mfuatiliaji wa Makala zetu za wilnismstore zihusuzo imani, leo nimekuandalia somo zuri linalohusu madhara ya mzazi au mlezi kutokumpa nafasi mtoto, 
Twende pamoja
   Mithali:17;25
   Mwana mpumbavu ni huzuni kwa babaye
  Na uchungu kwa mamaye aliyemzaa.

   Mzazi/mlezi hakuna mzazi anayependa mtoto mwenye tabia mbaya.
  Hakuna mzazi anayependa mtoto mwizi.

  ➖ Mtoto anakuwa mwizi
   ➖Anakuwa mtoto wa mtaani
   ➖Hana upendo kwa Mungu
   ➖Hapendi kuishi na wenzie
   ➖Ana majibu mabaya kwa wakubwa na watoto
   ➖Hana hofu ya Mungu
   ➖Anafundishwa mafundisho mabaya
   ➖Unakutana na watoto mashoga.

     Ushuhuda
    Kuna rafiki yangu moja mtoto wa kakake alifundishwa uchawi na jirani.
  ➖Atashawishiwa na wenye dhambi.
    Mithali 1:10
➖Atapata marafiki wabaya
   Mwanzo 34:1
  2samwe 13:3-5

   Nini tufanye?
   Ntaendelea kukuandikia Makala hii. Tafadhali endelea kutembelea mara kwa mara ukurasa wetu wa kiimani. Katika website yetu www.wilnismstore.com

Post a Comment

0 Comments