Usiogope maumivu ya muda mfupi yanayokutengenezea faida ya muda mrefu. Badala yake ogopa Sana furaha ya muda mfupi inayokutengenezea maumivu ya muda mrefu.
Katika maisha Kuna wakati unajikuta uko peke yako. Wale ulioamini kwamba hawatakuacha katika hali ya aina yoyote ile wanakuacha. Unabaki peke yako. Mungu anaporuhusu upitie wakati Kama huo anakuwa na kusudi lake katika maisha yako.
Kuna maumivu ambayo hayaji kwa bahati mbaya katika maisha yako. Yanakuwa na lengo maalumu. Yanakuwa yamebeba ujumbe Fulani. Maumivu mengi Yana lengo la kukuinua kiroho,
Kukufunulia aina ya marafiki ulionao, kukukomaza kibiashara.
Nini unachotakiwa kukifanya unapopitia nyakati ngumu katika maisha? Ni kuacha kulalamika. Ukilalamika huwezi kujifunza Jambo lolote jipya liloletwa na maumivu. Usimlalamikie mtu fulani Kama chanzo cha maumivu yako. Usimlalamikie Mungu bali muombe akufunulie Jambo jipya litokanalo na maumivu yako.
Kumbuka: Hakuna mtu yeyote aliyewahi kufanikiwa kiroho, kifamilia, kisiasa, kiuchumi bila ya kuumia. Maumivu ya Yesu Kristo pale msalabani yalimkomboa mwanadamu kutoka kwenye lindi la utumwa wa dhambi.
Always be ready to give a defense to everyone who asks you a reason for the hope that is in.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
1 Peter 3:15, The Passover celebration would serve two purposes; it would remind the adults of God's deliverance, and it would cause their children to ask about it.
"Why" can be an annoying question, but it can also be a wonderful opportunity to give a reason for our faith. Instead of being impatient when others ask questions, we can be thankful they have a heart and a mind open to learning.
Questions give us opportunity to answer lovingly and carefully, knowing that our words may have eternal consequences.
Honest questions can lead to faith building answers. Lord, may I be approachable and open to listening to others' questions. May I not feel threatened but instead have confidence that you will give me wisdom to know how to reply or where to find an answer.
In Jesus name
,,,,,,,,,,,,,,. Amen.,,,,,,,,,,,,.
0 Comments