NGUVU YA KUZUIA MAWAZO MABAYA

NI KWELI UNAWEZA UKAUMIZWA MPAKA UKAFIKIRI KUJIUA AMA KUFA LAKINI PASIPO KUMTANGULIZA MUNGU HUWEZI AKILI YAKO HAIWEZI BILA MUNGU

UTAWEZAJE KUSHINDA MAUMIVU YA MOYO FATANA NAMI MWANZO MPAKA MWISHO 


Mwanzo 2:17 
Walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika. 

KUMBE HATA MUNGU HAKUTAKA TUYAJUE MABAYA MAANA ALIJUA TU DHAIFU😭😭

(1)ZUIA MANENO MABAYA YASIINGIE MOYONI MWAKO SIO KILA NENO LAKUWEKA MOYONI HATAKAMA MANENO YASEMWAYO NI KWELI YANAUMIZA JITAHIDI KUTO YATUNZA MOYONI WALA KUSIKILIZA TENA
Mithali 29 19 
Haitoshi mtumwa kuonywa kwa maneno; Maana ajapoyafahamu hataitika.

(2)LITAFUTE KUSUDI LA KUISHI DUNIANI KWANINI UNAISHI WEWE?, NI NANI?, UMETOKA WAPI NA DUNIANI UNAFANYA NINI? UKILIJUA KUSUDI HUWEZI KUKATA TAMAA

(3)AMINI UWEZO ULIOPO NDANI YAKO 💪🏿💪🏿 UMEUMBWA KIPEKEE YAANI DUNIA NZIMA HAKUNA KAMA WEWE YAANI MIMI WILSON DUNIA NZIMA HAKUNA KAMA MIMI WALA HATO TOKEA HIVYO BASI MAZINGIEA YASIKIFANYE UWE MNYONGE
  • ZUNGUMZA NAWATU WENYE MANENO YAKUJENGA 
  • JIJENGEE NAMNA YAKUPAMBANA NA MAJARIBU MAANA LAZIMA YAJE ILI UEWEZE KUFIKIA BARAKA ZAKO BADILISHA VIKWAZO LAKINI VIKWAZO VISI KUBADILISHE WEWE AKILI MAARIFA
Mithali 13 20 
Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima; Bali rafiki wa wapumbavu ataumia. 

Naamini ukiyazingatia haya kamwe moyo wako hautokuwa mwepesi kuumia, 
Niandikie maoni yako sehemu ya comments hapa chini

Yoshua 1:9 
 Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako. 

💪🏿💪🏿 MUNGU YUPO NASI KWAKILA MAGUMU😊😊

Post a Comment

0 Comments